Hmmm....eti ni kweli...?

Hmmm....eti ni kweli...?

Sababu ya kucheat ni kuwa 'huna morals za kuwa mwaminifu' sioni sababu nyingine zaidi ya hii.

Ndo maana wewe hukuweza chwat kipindi umechitiwa ukaamua ku-move on.

Mie huwa sioni justification kabisa, yaani acheat mwingine, afu mie nijipe adhabu ya kwenda kupakwa jasho na mtu mwingine?

Bora nimsababishie aliyenicheat abakwe na wanawake hata elfu lol

ah ah ah ah..... Kongosho umesema kweli tena ukifanya kwa hasira unaumia kweli maana kunakuwa hakuna rhythm
 
Last edited by a moderator:
Babu, big respect to you, busara zako aisee!

Mie kuna ndugu yangu alimcheat mkewe muda mrefu tu tukanyamazia. Akaanza kuleta dharau kwa mkewe na ku-play hard to get. Hadi akastukiwa. Nikamuonya kesi ilipofika kwangu. Sasa hivi mkewe ana affair ya kufa mtu. Na mie formula yangu siingilii maisha ya mtu. Namngoja alete kesi nimuambie wewe ndo mwalimu wake, sahihisha daftari uwe mupolee!

Mwanaume akiwa cheated anatia huruma as if it is the end of the world! Sikilizia akikamatwa yeye anavyokuwa m'babe na kulazimishia asamehewe!
hivi is there any truth kwamba mwanaume kama haridhishwi na mkewe ndo anaenda nje ? ama na katabia kama mtu binafsi kwasababu mijianaume ya cku hizi khaa inapenda ku insert flash kwenye ports tofauti tu mwishowe folder litaliwa sasa zipu nje nje tu khaa ebbo
 
Ushawahi kumuuliza msichana ambaye labda umewahi kuwa na uhusiano naye kuhusu idadi ya wanaume aliyowahi kuwa nayo kabla yako wewe? Kama umewahi most likely uliambiwa idadi ndogo sana. Kama alikutajia idadi ndogo, uliamini?

Mie nina bahati mwenzenu, always the second, ha ha haaaaa, halafu baada ya muda wanaibuka wengine ulikuwa hujaambiwa then unapigwa na hatuku "do" bali nilidate nao tukaishia kukisss.
 
data utakazopewa labda ex wazamaani au nyumba anayojenga mkeo kijijini, siri nzito mwanamke anakufa nao.....
unadhani siri ya kubomoa hata shosti atapewa? thubutuuuuuuu



Alafu ukimmega huyo shemeji yako ndo utapewa data kibao
 
Hiyo huwa mara nyingi ni kanyaboya....

Ni sawa na kuambiwa kwamba may be ujaribu au ujitahidi next time...anakuwa hataki tu kukuvunja vunja nguvu!!

Hawa watu achana nao bwana!!

Babu DC!!

Ngoja siku mmegombana ndio utajua, utasikia kidudu chenyewe kama mbilimbi au kibamia, au mwanaume gani ingiza chomoa hata 5 mins ufikishi.
 
Niliwahi kuleta uzi kuwa mi napenda kutoka na wapenzi au nyumba ndogo za watu, mkanishangaa! Actually mi ndo niliwashangaa zaid. Na umri huu natapika limwamke linaponambia eti ni la kwangu peke yangu! Mi ntaendelea kudili na wapenz wa watu, cha kujitia presha nin?!
 
D.A Naona umekuja na kasi zaidi...Habari ya kupotea dear?? Tulikumisije??

Back to the topic

Ni kweli kabisa pigia mstari....ukitoa K au M pembeni tu basi umecheat...

Ha ha ha niliwamiss ile mbaya acha kabisa dear
 
I guess nimepitwa. But like i said i don't support cheating no matter how bad your relationship is. Going deep into this i see no ground ya kumtetea a woman cheater just like men, they try to justify kwa sababu tofauti
I was a victim of cheating once, the guy cheated in so many ways hadi basi nikajaribu kutafuta sababu lakini i found none so i decided to move on bila shari being a woman najaribu kuangalia ile situation ningepata kweli some comfort si ningeona sawa? Si sawa lakini haindoi sababu

Elizabeth bana haya sie wenzio tunacheat kwa kwenda mbele
 
babu usiwatishe wenzio, watakuwa wanahisi wanadanganywaaaa tuuuuuuuuuuuuuuu


Labda kwa new comers....ila kwetu sisi wastaafu, tunajua vyema kabisa kuwa kudanganywa na kupewa sifa zisizo zako (may be za mtangaulizi wako au dream man) ni sawa na kuvuta oxygen!!!

Babu DC!!
 
kama mentality ni hii, sitakaa nisifie mtu asilani

haijalishi kama kapigia msumari wa mwisho au la!

Kumbe waonekana mwongo? Lol

mapenzi hayana wema aisee

Labda kwa new comers....ila kwetu sisi wastaafu, tunajua vyema kabisa kuwa kudanganywa na kupewa sifa zisizo zako (may be za mtangaulizi wako au dream man) ni sawa na kuvuta oxygen!!!

Babu DC!!
 
kama mentality ni hii, sitakaa nisifie mtu asilani

haijalishi kama kapigia msumari wa mwisho au la!

Kumbe waonekana mwongo? Lol

mapenzi hayana wema aisee

Unajua nini Kongosho???

Kama umri na uzoefu unakuruhusu...huwezi kupata shida kujua kama mgonjwa wako kafa au bado mzima....!!

Kusubiri hadi uambiwe na mtu wa pembeni, ni ushahidi kwamba wewe bado bado.....!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
ahahaaaaaaaaaaa icho kicheko tu kimenionyesha unaenda no kumi na kitu now ....ahahaaaaa


Kumbe na wewe Smile umemstukia Fixed Point??

Anyway...tumwache tu kwa sababu siyo jambo rahisi kwa mwanadada yeyote makini kutoa hizo takwimu!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
OMG! ubinadamu sasa umepotea kabisa. mume wa design hii ana tofauti gani na mawazo ya mnyama? yaani unacheat sababu mkeo anaumwa? hii sasa serious


Ndugu yangu Fixed Point,

Ni muhimu sana kutofautisha mazingira ya mwanamume anapoamua kwenda nje.....Kama anaenda kutafuta mahali pa kuponea wakati mke wake ni mgonjwa basi kwa mtazamo wetu that is not cheating!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Uko sahihi kabisa lakini ndio hivyo tena watu hawaoni wala kusikia cheating ni kwa kwenda mbele huku wakifunika kwa uongo,inawezekana vipi katika wasichana 20 niliotembea nao kila mmoja mimi ndio nakuwa mwanaume wa pili katika himaya yake..??What a coincidence............

Hahahahahahahah,


Mkuu ukianza kujiuliza maswali kama hayo, basi ujue umri umeshakuvusha kutoka kwenye utoto kwenda kwenye umri wa mtu mzima....!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom