Hmmm....eti ni kweli...?

Hmmm....eti ni kweli...?

Sawa, ila hii habari ya kusema wanawake wakicheat basi wao wanakuwa na sababu halali na wanaume wakicheat wao wanacheat ili mradi tu...mimi naikataa.

Cheating is bad behavior, period, end of sentence.

Uko sahihi kabisa lakini ndio hivyo tena watu hawaoni wala kusikia cheating ni kwa kwenda mbele huku wakifunika kwa uongo,inawezekana vipi katika wasichana 20 niliotembea nao kila mmoja mimi ndio nakuwa mwanaume wa pili katika himaya yake..??What a coincidence............
 
hapo una bahati kuna yale mambo mengine, ungeambiwa wewe ndo wa kwanza
 
Nobody is saying its good to cheat and i'm with you, cheating is bad....if you have a reason to cheat why not use that reason to call it quit.
What i was trying to say is Women cheat when they are pushed to do so, they don't just sleep with a guy because he is hot.....

Hapa tutakesha,they are pushed to do so with who..??Those are just justifications of their bad behaviour.....and I dont believe if there is anyone under the sun who can push another to cheat...
 
What i was trying to say is Women cheat when they are pushed to do so, they don't just sleep with a guy because he is hot.....

Where in the world do you live in? Just like men, women cheat for a multitude of reasons with lust being one of them.
 
hapo una bahati kuna yale mambo mengine, ungeambiwa wewe ndo wa kwanza

Acha kabisa mama,nilishaambiwa mimi ndio wa kwanza na mimi nikajitia ushamba kuuliza,si nasikia ukiwa wa kwanza shuka huwa inachafuka nikajibiwa ni kweli ila mimi nilipokuwa mdogo baba alininunulia baisikeli ndio ikanifanya hivi lakini amini kabisa wewe ndio wa kwanza na mimi eti eenh....................
 
Hapo ndio mnapojidanganya sasa cheater ni cheater tu hata mwanaume ana sababu zake na ukimuuliza unaweza kukubaliana naye katika wizi wake.Sasa kama mama ameambiwa na daktari apumzike mpaka muda wa kujifungua ufike na baada ya hapo asubiri tena miezi mingine mitatu,kuna mwanaume kweli anayeweza adhabu hiyo..??

Kuna wengine wanafanya sababu ya temptation wengine kulipiza visasi hizo zote ni sababu sawa? Mwishoni kunakuwa hakuna sababu itakayo justify ku cheat na kumuumiza mwenzio but people do cheat they say Men lie, women lie lakini najiuliza why?......
 
Sasa tunaanza kuongea lugha moja mama,cheaters wote wanafanya hivyo sababu ya ubinafsi wao tu na sidhani kama kuna sababu yoyote toka kwa mwenzi wako inayoweza kukusababisha ucheat kama sio uamuzi wa muhusika mwenyewe....
 
Mimi hapa ndio huwa nakataa hadi basi.

Simini kama unacheat sababu kuna mtu anakufanya ucheat

Naamini unacheat sababu huna morals za kuwa mwaminifu, subconsioucly unaaamini kucheat si vibaya.
Aidha kwa sababu umekulia kwenye mazingira ammbayo watu wanaona kucheat hata kama ni vibaya lakini unaweza fanya kutegemea na mazingira.
(Muumini wa saudia hawezi kula kitimoto hata kama nyama zote zikiisha)

Sidhani kwa mtu uliyakutana naye ukiwa mtu mzima anaweza badili ulichofundishwa tangu utoto.

Mie kuwasingizia wanamme wananifanya nicheat, is a lame excuse.
Ninacheat sababu siamini katika uaminifu!!!

yeye mwanaume hayapati hayo kwako? mbona ana cheat?, na kumbuka wanawake wengi tunafanya haya coz ya hawa wanaume ze2, mtu anafanya anajisahau kabisa kabisa kama ana majukumu yanamkabili,heshima ya nyumba kai2pilia mbali, tufanyaje? ni hivi ukimkuta mwanamke anae cheat wakati kwake mambo shwari huyo ana ugonjwa wa kutekenywa, tunafanya coz wanatufanya/wanatulazimisha tufanye.....haki sawa kwa kila mtanzania....mkwe naendelea hapa najua tarehe bado zinasoma ucjeniacha nikakabwa hapa na wahudumu.....mie nimecharara kabisa pesa zote nimemalizia kwenye michango ya kitchen party!
 
Acha kabisa mama,nilishaambiwa mimi ndio wa kwanza na mimi nikajitia ushamba kuuliza,si nasikia ukiwa wa kwanza shuka huwa inachafuka nikajibiwa ni kweli ila mimi nilipokuwa mdogo baba alininunulia baisikeli ndio ikanifanya hivi lakini amini kabisa wewe ndio wa kwanza na mimi eti eenh....................
ha haaaaaaaaaaaaaa, unasikia................ hujabahatika rafiki?
 
Hapa tutakesha,they are pushed to do so with who..??Those are just justifications of their bad behaviour.....and I dont believe if there is anyone under the sun who can push another to cheat...

Duh! Ninaweza kuja nasababu elfu hamsa but like you said itakuwa ni kama ku justify u maaruni wao mimi nilikuwa naonyesha tu facts which are there no matter how much we try to disregard them bottom line is cheating is bad and it hurts
 
Mimi hapa ndio huwa nakataa hadi basi.

Simini kama unacheat sababu kuna mtu anakufanya ucheat

Naamini unacheat sababu huna morals za kuwa mwaminifu, subconsioucly unaaamini kucheat si vibaya.
Aidha kwa sababu umekulia kwenye mazingira ammbayo watu wanaona kucheat hata kama ni vibaya lakini unaweza fanya kutegemea na mazingira.
(Muumini wa saudia hawezi kula kitimoto hata kama nyama zote zikiisha)

Sidhani kwa mtu uliyakutana naye ukiwa mtu mzima anaweza badili ulichofundishwa tangu utoto.

Mie kuwasingizia wanamme wananifanya nicheat, is a lame excuse.
Ninacheat sababu siamini katika uaminifu!!!

Heri wewe umesema,kuchiti kuna raha yake bana asikwambie mtu ila tu soma signecha yangu........
 
Where in the world do you live in? Just like men, women cheat for a multitude of reasons with lust being one of them.

I guess nimepitwa. But like i said i don't support cheating no matter how bad your relationship is. Going deep into this i see no ground ya kumtetea a woman cheater just like men, they try to justify kwa sababu tofauti
I was a victim of cheating once, the guy cheated in so many ways hadi basi nikajaribu kutafuta sababu lakini i found none so i decided to move on bila shari being a woman najaribu kuangalia ile situation ningepata kweli some comfort si ningeona sawa? Si sawa lakini haindoi sababu
 
Sababu ya kucheat ni kuwa 'huna morals za kuwa mwaminifu' sioni sababu nyingine zaidi ya hii.

Ndo maana wewe hukuweza chwat kipindi umechitiwa ukaamua ku-move on.

Mie huwa sioni justification kabisa, yaani acheat mwingine, afu mie nijipe adhabu ya kwenda kupakwa jasho na mtu mwingine?

Bora nimsababishie aliyenicheat abakwe na wanawake hata elfu lol

I guess nimepitwa. But like i said i don't support cheating no matter how bad your relationship is. Going deep into this i see no ground ya kumtetea a woman cheater just like men, they try to justify kwa sababu tofauti
I was a victim of cheating once, the guy cheated in so many ways hadi basi nikajaribu kutafuta sababu lakini i found none so i decided to move on bila shari being a woman najaribu kuangalia ile situation ningepata kweli some comfort si ningeona sawa? Si sawa lakini haindoi sababu
 
He he he he, usiniige lakini
Wakati unamwagiwa maji ya moto sitakuwepo lol

Wengine tushakuwa ma-expert, sasa hivi nawaza kujiajiri, niwe consultant wa jinsi ya kucheat bila kukamatwa lol

Chezea mtakatifu wewe ..??Huyo wa kunimwagia maji ya moto si mpaka anikamate acha kunihisi tu,na akinikamata ujue kuwa nimechoka kufanya siri, la sijachoka nitachiti na nikirudi nampa dozi utasema nimetoka jela hahahahahaha.....................
 
mpaka hapo ni kwamba wewe ndio ambaye hujanielewa, kwanini umkamate yoyote? kama umemkamata eo kwani must u revenge kesho/keshokutwa?....na pia inawezekana ukafanya hiyo hiyo kesho inategemeana, kuna wengine wana pending! izo chemistry na history/maths kwani huyo aliekutenda ulizipata kwake ghafla 2? c mazoea?

Karibu sana Nyamayao nimemiss sana wosia wako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom