St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
Sawa, ila hii habari ya kusema wanawake wakicheat basi wao wanakuwa na sababu halali na wanaume wakicheat wao wanacheat ili mradi tu...mimi naikataa.
Cheating is bad behavior, period, end of sentence.
Uko sahihi kabisa lakini ndio hivyo tena watu hawaoni wala kusikia cheating ni kwa kwenda mbele huku wakifunika kwa uongo,inawezekana vipi katika wasichana 20 niliotembea nao kila mmoja mimi ndio nakuwa mwanaume wa pili katika himaya yake..??What a coincidence............