Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,746
mbona unahamaki kuulizwa idadi best? na huyo muulizaji huwa anataka kujua nini? yeye ajaribu akiona inalipa aendelee, akiona hailipi si achape lapa tu..................... shida iko wapi?nyamayao una hasira leo... mimi sijawai kucheat wala sitokaa ila si rahis i mwanaume kujua siri zangu...kwanza ni upuuzi kuulizana umetembea na wangapi kama vipi watuwekee luku zisome units.ikitoka si imetoka jamani no ya nini?