Better cheaters!
it is not a new revelation. Tumesema humu mara nyingi. TukiAMUA kucheat tunaweza vizuri kuliko men.
Cheating is up because we have the means and the motive!
Motivation ya kucheat sidhani kama ni moja kwa kila mwanamke; uwezo wa kifedha humfanya mwanamke kuweza kuamua kuend up mahusiano na si kuvumilia na kuamua kucheat!
Kwenye article hiyo ninachokubaliana nacho ni kuwa mwanamke akiamua kucheat anafanya vizuri kuliko mwanaume.
Na list ya wapenzi, huoni kuwa wanaume wengi husababisha kudanganywa kwa kuwa hawawezi meza ukweli! Refer thread za
Erotica kuhusu mwanaume wa 40. Alishambuliwa na wanaume wengi sana. Sasa mtu akija na list ya ukweli say in my 10 years ya mahusiano nimekuwa na mahusiano mara 5 na hit n run 4 utamwelewa kweli? Ndio maana mnaishia kupata wewe ni wapili! LOL