Smile unakataa hapa sababu,labda utakuwa bado ndio unapalilia penzi jipya au unaye na yumo humuhumu anajua ID yako lakini ukweli hapo hakuna suala la umalaya wala nini,mfano mimi niliwahi kuwa na mkurugenzi wangu kazini hapohapo Dar ambaye ameolewa na Dr mmoja mkubwa tu mjini,lakini yule mama alinitamkia wazi kuwa mumewe kazidisha safari na anajali zaidi majukumu yake hivyo yeye hafurahii kabisa tendo la ndoa nyumbani kwake na akaniomba niwe msiri wake ili nimuokoe na mateso anayoyapata.Na kunihakikishia analolisema first meeting ilikuwa London alipoenda kuwakilisha kampuni yake nami nikawekwa kwenye list ya safari.Sasa kwa mama kama huyo unaweza kumwita malaya au mtu aliyezidiwa na anahitaji huduma..