Hmmm....eti ni kweli...?

Hmmm....eti ni kweli...?

nyamayao una hasira leo... mimi sijawai kucheat wala sitokaa ila si rahis i mwanaume kujua siri zangu...kwanza ni upuuzi kuulizana umetembea na wangapi kama vipi watuwekee luku zisome units.ikitoka si imetoka jamani no ya nini?
mbona unahamaki kuulizwa idadi best? na huyo muulizaji huwa anataka kujua nini? yeye ajaribu akiona inalipa aendelee, akiona hailipi si achape lapa tu..................... shida iko wapi?
 
Is it because they are better at keeping secrets or is it because they are better at lying or is it because they are better at both?

Yap they r better at both. Hakuna viumbe waongo kama wanawake. Mwanaume ni rahisi kumfumania na mtu au text msgs lakini women are experts kwenye hivo vitu na pia guys we tend to trust and believe that wanawake zetu wanatupenda na hawawezi kutufanyia ushenzi na ndo hapo tunapoibiwagwa
 
Sisi kukamatwa ni rahisi, mfano, ukitoka kuchit mda huu mkeo akakulazimisha mfanye, inaweza goma kusimama au ikachelewa kusimama, lakini wao hakuna kitu cha kusimama ni kuitenga tu.
 
Women cheat for a reason Men wao hawaitaji sababu kucheat halafu kitu kingine Women are more organized than Men kwahiyo pale mwanamke anapocheat anakuwa na nia, sababu na uwezo pia...

Hapo ndio mnapojidanganya sasa cheater ni cheater tu hata mwanaume ana sababu zake na ukimuuliza unaweza kukubaliana naye katika wizi wake.Sasa kama mama ameambiwa na daktari apumzike mpaka muda wa kujifungua ufike na baada ya hapo asubiri tena miezi mingine mitatu,kuna mwanaume kweli anayeweza adhabu hiyo..??
 
Reason reason reason, hivi kuna sababu yoyote ya kucheat? mi naona tunajitengenezea tu.... na ndio maana mara nyingi huwa tukimaliza tunajuta, tunajuta sababu hatukuwa na sababu ya kutufanya tucheat, hata iweje
 
OMG! ubinadamu sasa umepotea kabisa. mume wa design hii ana tofauti gani na mawazo ya mnyama? yaani unacheat sababu mkeo anaumwa? hii sasa serious
 
mbona unahamaki kuulizwa idadi best? na huyo muulizaji huwa anataka kujua nini? yeye ajaribu akiona inalipa aendelee, akiona hailipi si achape lapa tu..................... shida iko wapi?

Napenda wanawake wanaojiamini kama wewe,sasa kama mimi nina msururu wa binadamu zaidi ya mia waliokutangulia kwa nini nitake kuwa wa kwanza kwako wakati wewe haukuwa wa kwanza kwangu...Big up mammie
 
OMG! ubinadamu sasa umepotea kabisa. mume wa design hii ana tofauti gani na mawazo ya mnyama? yaani unacheat sababu mkeo anaumwa? hii sasa serious

Ubinadamu wala haujapotea ni kwa kuwa tu hauelewi kinachoendelea ndani ya mwili wa mwanaume katika kipindi hiki anapolazimishwa kuikosa hii kitu,na hapa ndio umuhimu wa kutunza siri unapokuja.....................
 
Napenda wanawake wanaojiamini kama wewe,sasa kama mimi nina msururu wa binadamu zaidi ya mia waliokutangulia kwa nini nitake kuwa wa kwanza kwako wakati wewe haukuwa wa kwanza kwangu...Big up mammie
si ndo hapo? lakini wakaka wengi wana tabia hizo. anachezea wadada wa watu weeeeeeeeeeeeeeeee, halafu anapotaka kuoa anatafuta binti aliyetulia, na wengine wanathubutu kutafuta mabikra.
 
Women cheat for a reason Men wao hawaitaji sababu kucheat halafu kitu kingine Women are more organized than Men kwahiyo pale mwanamke anapocheat anakuwa na nia, sababu na uwezo pia...

That women cheat for a reason is nothing but a bunch of fatuous nonsense and a lame attempt to excuse bad behavior. I just don't buy it.
 
Ubinadamu wala haujapotea ni kwa kuwa tu hauelewi kinachoendelea ndani ya mwili wa mwanaume katika kipindi hiki anapolazimishwa kuikosa hii kitu,na hapa ndio umuhimu wa kutunza siri unapokuja.....................
hiyo kitu iliyo ndani ya miili yenu ipo wake enu wanapokuwa na matatizo tu, au hata na nyie mnapokuwa mnaumwa kiasi cha kushindwa yale mambo yetu hiyo kitu inakuwepo ila mnavumilia tu? kama mnaweza kuvumilia kipindi hicho, unashindwaje kuvumilia mwenzio anapokuwa gonjwa?
 
Tatizo ni kuwa toka enzi na enzi wanadamu wamejiaminisha kuwa mwanaume mwenye wanawake wengi basi ndio kidume wakati mwanamke akiwa na idadi inayozidi mmoja tu basi ataitwa majina mengi tu ya ajabuajabu na ndio sababu wanaume tunakuwa tumeshajijengea mazingira ya kudanganywa toka mwanzo huku tukijiaminisha kuwa ni mimi tu kumbeeeeeeee...........
 
hiyo kitu iliyo ndani ya miili yenu ipo wake enu wanapokuwa na matatizo tu, au hata na nyie mnapokuwa mnaumwa kiasi cha kushindwa yale mambo yetu hiyo kitu inakuwepo ila mnavumilia tu? kama mnaweza kuvumilia kipindi hicho, unashindwaje kuvumilia mwenzio anapokuwa gonjwa?

Hata wakati tunaumwa inategemea ni ugonjwa gani kama ni ugonjwa unaoweza kumfanya mtakatifu ashindwe kusimama basi nitashindwa lakini kama mtakatifu atasimama basi hali ni ileile,nakuomba tu jiulize ni kwa nini mtoto wa kiume hata kabla ya kupevuka huwa anasimamisha kila asubuhi...................
 
Reason reason reason, hivi kuna sababu yoyote ya kucheat? mi naona tunajitengenezea tu.... na ndio maana mara nyingi huwa tukimaliza tunajuta, tunajuta sababu hatukuwa na sababu ya kutufanya tucheat, hata iweje

Sitetei cheaters lakini najaribu kuangalia tu from a woman's point of view. Labda niseme a "valid reason" Once you are in a situation ndipo unaelewa zaidi sasa nimejaribu kuangalia hapo.
Usinifikiri vibaya dada @FixedPoint miye mwenyewe nishawahi kuchitiwa na i think hakuna justification ya hiyo kitu
 
Napinga,kungekuwa hakuna sababu ya kucheat basi watu wasingecheat................

Sawa, ila hii habari ya kusema wanawake wakicheat basi wao wanakuwa na sababu halali na wanaume wakicheat wao wanacheat ili mradi tu...mimi naikataa.

Cheating is bad behavior, period, end of sentence.
 
Sitetei cheaters lakini najaribu kuangalia tu from a woman's point of view. Labda niseme a "valid reason" Once you are in a situation ndipo unaelewa zaidi sasa nimejaribu kuangalia hapo.
Usinifikiri vibaya dada @FixedPoint miye mwenyewe nishawahi kuchitiwa na i think hakuna justification ya hiyo kitu
Sikuelewi vibaya kabisa dada yangu Elizabeth, nilichokuwa najaribu kusema tu ni kwamba hakuna sababu yoyote inayoweza kumfanya mtu yeyote acheat, uwe mke au mme
 
That women cheat for a reason is nothing but a bunch of fatuous nonsense and a lame attempt to excuse bad behavior. I just don't buy it.

Nobody is saying its good to cheat and i'm with you, cheating is bad....if you have a reason to cheat why not use that reason to call it quit.
What i was trying to say is Women cheat when they are pushed to do so, they don't just sleep with a guy because he is hot.....
 
Back
Top Bottom