Rehema Chahe2022 New Member Joined Jun 2, 2022 Posts 1 Reaction score 2 Jun 2, 2022 #1 Ninaitwa Rehema Chahe, ni mgeni humu ni matumaini yangu nitajifunza mengi kutoka kwenu na mtajifunza mengi kutoka kwangu, Baraka za Mungu ziwepo nanyi, asanteni.
Ninaitwa Rehema Chahe, ni mgeni humu ni matumaini yangu nitajifunza mengi kutoka kwenu na mtajifunza mengi kutoka kwangu, Baraka za Mungu ziwepo nanyi, asanteni.
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Jun 3, 2022 #2 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,674 Reaction score 29,643 Jun 3, 2022 #3 Karibu sana mkuu.. Vipi umekaguliwa lakini?