Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Lakini wanasema kuna baadhi ya makabila wapo vizuri kitandani kwa sababu huwa wanafundwa.Mkuu usidanyanyike hilo ni swala la mtu binafsi na sio sifa yq ujumla ya watu fulani.
Mfano :
Wamakonde
Wamwera
Wayao etc
Kwa hiyo mkuu ni kweli kabisa baadhi ya makabila wanawake zao wanajua mapenzi kuliko wengine