Hodi hodi Nachingwea: Wazoefu wa Nachingwea nipeni ABC za mji wa Nachingwea na vijiji vyake

Mkuu usidanyanyike hilo ni swala la mtu binafsi na sio sifa yq ujumla ya watu fulani.
Lakini wanasema kuna baadhi ya makabila wapo vizuri kitandani kwa sababu huwa wanafundwa.

Mfano :

Wamakonde

Wamwera
Wayao etc

Kwa hiyo mkuu ni kweli kabisa baadhi ya makabila wanawake zao wanajua mapenzi kuliko wengine
 
Hili nalo neno
 
safuher
 
Kusini hakuna wanawake wazuri kwa upande wa figure na sura,ni wazuri kwa viuno hasa sita kwa sita. Tabia pia chenga tu.
 
Tatizo LIKUD unatusahau wadau tunaoweza kukusaidia kuhusu kusini, hebu funguka unahitaji msaada upi kwa hapa Nachingwea tukupe dondoo?.
 
Tatizo LIKUD unatusahau wadau tunaoweza kukusaidia kuhusu kusini, hebu funguka unahitaji msaada upi kwa hapa Nachingwea tukupe dondoo?.

1. Lodge na bei zake kuanzia ya chini hadi ya bei ya juu.

2. Bar ama viwanja vinavyo happen hapo Nachingwea zenye ma bar maid wazawa wa hapo.Nachingwea au kusini kwa ujumla sio ma bar maid kutoka Dar
3. Kama nataka watoto wa kienyeji wa hapo Nachingwea nitawapata wapi na vipi?

4. Vijiji vilivyo changamka.

5. Kuhusu elimu hasa shule za sekondari za serikali idadi yake na ufaulu wake.

6. Wenyeji wa Nachingwea ni watu gani hasa ? Wamwera ama?
 
Reactions: K11
Nakuletea dondoo kamili muda si mrefu nitakuwa nimetulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…