Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Bhana wee nawajua woteeee😂Kuna mwingine anaitwa 1kush africa mchizi mwema sana , hana makuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi naaamu ,umeniita nimeitika, naamu mimiWe carlos wewe...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
😂😂😂Kuna mmoja yeye anajiita miminimkulimaakachekasana huyu jamaa, aliwahi Lima Hekari 10 kwa jembe LA mkono kama sehem ya mahari ..
Mwisho siku ,Demu yanatoka masomoni, alipoambiwa Mchumba wake ni mkulima, akacheka saaaana...
Jamaa naye akaamua kujiita miminimkulimaakachekasana
Sent using Jamii Forums mobile app
Bhana wee nawajua woteeee[emoji23]
Humu ni mwisho wa stress wallahMimi naaamu ,umeniita nimeitika, naamu mimi
Life is full of beautiful things .....enjoy
Sent using Jamii Forums mobile app
Umecheka tena, nipigie makofi Mara yapili[emoji23][emoji23][emoji23]
Bila Shaka Pm imejaaHumu ni mwisho wa stress wallah
Humu ni mwisho wa stress wallah
Kama kuna yangu basi nifanye wa mwisho, usije ukanipenda bure !!!.Bila Shaka Pm imejaa
Siku niliojitambulisha hapa zilimiminika message hadi leo sijamaliza kuzisoma[emoji23]
Hahahahahaha basi ngoja ,kuna mdau anaitwa jooohs huyu Mkuu yeye toka shule ya msingi ni harakati tu ,kupambana .Bhana wee nawajua woteeee[emoji23]
Kwa maana bibi yako naye anajua, mjukuu shariti spate mkazamwanaNaam!!! Na ukiendelea nakusemea kwa bibi angu Lara1 afu uone vichambo vyake
Nmekoma mimi.. nsamehe kaka[emoji119][emoji119]
Ndo raha ya JF hiiSubiri nimalize kupiga nyungu nitakupa mrejesho.
Umeanza lini hiyo tabia we mwanamke..?😅Subiri nimalize kupiga nyungu nitakupa mrejesho.