Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Kuna mmoja yeye anajiita miminimkulimaakachekasana huyu jamaa, aliwahi Lima Hekari 10 kwa jembe LA mkono kama sehem ya mahari ..
Mwisho siku ,Demu yanatoka masomoni, alipoambiwa Mchumba wake ni mkulima, akacheka saaaana...
Jamaa naye akaamua kujiita miminimkulimaakachekasana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho siku ,Demu yanatoka masomoni, alipoambiwa Mchumba wake ni mkulima, akacheka saaaana...
Jamaa naye akaamua kujiita miminimkulimaakachekasana
Sent using Jamii Forums mobile app