Hodi hodi naingia...

Hodi hodi naingia...

Haswaaa hujakoseaaa.

Niliwahi ruka ukuta usiku home mida ya Saa sita miaka ileee ,kumfata demu huku kananichatisha tuu..baby njooooo njooo nitakufungulia mlango.


Mwendo wa kilometer 1 ivi alafu kwa mguu..nafika karibu nakwao Kananiambia..


Haaa baby nilikua nakutania tu Mimi nmesafiri toka Jana..


Kale kademu kaliniboa hahahahahaha., mbaya narudi home, naruka, kutua, mzeee huyu hapa ...nilichezea kichapooo.
Humu ni mwisho wa stress wallah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom