KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Nafikiri mambo yamekuwa mengi pia sijawa mtafutaji wa riwaya nazozipenda.. nyengine zinaishia njiani mambo mengi!Ahahahaaa... mishughuliko imekua mingi au ni kwanini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri mambo yamekuwa mengi pia sijawa mtafutaji wa riwaya nazozipenda.. nyengine zinaishia njiani mambo mengi!Ahahahaaa... mishughuliko imekua mingi au ni kwanini?
Aseee nna kikanuni ivi.... sisomi story mpaka nione imeandikwa 'MWISHO'! Story ni chakula changu cha ubongo... sasa nkiudhulumu hapo mawazo ni minyoo itanichenjia 😂😂😂Nafikiri mambo yamekuwa mengi pia sijawa mtafutaji wa riwaya nazozipenda.. nyengine zinaishia njiani mambo mengi!
Itabidi uwe mhamasishaji wangu ili nirudie hali yangu ya zama zile za kupenda kusoma mpk kuuma kwa kichwa!Aseee nna kikanuni ivi.... sisomi story mpaka nione imeandikwa 'MWISHO'! Story ni chakula changu cha ubongo... sasa nkiudhulumu hapo mawazo ni minyoo itanichenjia 😂😂😂
Mwenye asili haachi asili mkuu...Itabidi uwe mhamasishaji wangu ili nirudie hali yangu ya zama zile za kupenda kusoma mpk kuuma kwa kichwa!
Ha ha! Okay but why this night you still 👀👀...??Mwenye asili haachi asili mkuu...
Utayarudi tu
Nawangaaa mkuu😁😁Ha ha! Okay but why this night you still 👀👀...??
Nije unifundishe kuwanga..??Nawangaaa mkuu😁😁
Weeee bas staki ... ishia hapo hapo😂😂😂🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Nije unifundishe kuwanga..??
Ha ha! Okay basi msalimie pretty mwambie nampenda Sana kushinda mama pretty..😉😉Weeee bas staki ... ishia hapo hapo😂😂😂🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Sawasawa😄😄Ha ha! Okay basi msalimie pretty mwambie nampenda Sana kushinda mama pretty..😉😉
But utanipa list ya riwaya za kijasusi ili niamshe hali tena ya kusoma au wasemaje de pretty girl..?😉Sawasawa😄😄
Wana jf wananiita mama pretty 😊But utanipa list ya riwaya za kijasusi ili niamshe hali tena ya kusoma au wasemaje de pretty girl..?😉
Asante... hauna madharaa[emoji4][emoji4]
Baadhi sijazisoma!Wana jf wananiita mama pretty 😊
Anyway izo nyuzi mpaka nizitafute weèe..
Kwani hujazisoma?
Unapenda kupigiwa makofiii
Hao wanaitwa maBaharia !! Ukiruka juu wanaruka nawewe ,ukitua wametua naweeNaonaaa umeamua uwaleteee sasaa[emoji23][emoji23]
We acha tu.. mpaka najutaaaa[emoji23][emoji23][emoji23]