Hodi hodi naingia...

Nafikiri mambo yamekuwa mengi pia sijawa mtafutaji wa riwaya nazozipenda.. nyengine zinaishia njiani mambo mengi!
Aseee nna kikanuni ivi.... sisomi story mpaka nione imeandikwa 'MWISHO'! Story ni chakula changu cha ubongo... sasa nkiudhulumu hapo mawazo ni minyoo itanichenjia 😂😂😂
 
Aseee nna kikanuni ivi.... sisomi story mpaka nione imeandikwa 'MWISHO'! Story ni chakula changu cha ubongo... sasa nkiudhulumu hapo mawazo ni minyoo itanichenjia 😂😂😂
Itabidi uwe mhamasishaji wangu ili nirudie hali yangu ya zama zile za kupenda kusoma mpk kuuma kwa kichwa!
 
But utanipa list ya riwaya za kijasusi ili niamshe hali tena ya kusoma au wasemaje de pretty girl..?😉
Wana jf wananiita mama pretty 😊
Anyway izo nyuzi mpaka nizitafute weèe..
Kwani hujazisoma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…