Kama ni vita wacha iwe vita, Mimi nitakua upande wako kama "Armor" Yaan Kukulinda toka ktk hatari.
Nitakua Helmet univae kichwan kama boda boda
Nitakua PPE nikulinde dhidi ya Corona
Nitakua Bulletproof vest niizuie risasi isipenye mwilin mwako.
Nitakua ballistic vest bikulinde dhidi ya milipuko ya gongo la mboto ambayo MTU alibeba mpaka badala ya mwana.
Nitakua Gas mask wako niizuie hewa chafu isiingie mwilin mwako.
Au niwe gloves ?? Nilinde viganja laini vya mikono YAKO, ili pindi unipapasapo nipate msisimko halisi wako?.
Bado tu unaogopa ?.wakati nmekulinda dhidi ya Vita na matokeo yake ?.
Basi poa, ngoja niwe Mwarubaini mchaichai, mkaratusi, Limao, tangawizi, mdalasini, na niwe shuka, UJIFUKIZE .
Sent using
Jamii Forums mobile app