Hodi hodi naingia...

Hodi hodi naingia...

Hahahhaha jamaan Mwanamke pretty , hata majumban kwetu ,mgeni hukaribishwa kwa moyo mkunjufu na na wenye uvuguuvugu.

Huon mzeee wa kaya toka ahamie chattle kaaa mweusi, sababu chattle hamna ujotojoto wa wagen?.Hata ivo Mimi kuna MTU kaja speed ohoooo Carlos ,wewe bana ndo Mr.Right nanyota imekuangia wewe..ohoooooo kuna mwanamke uko anakuita !!.

Kumuuliza nani?? Anasema anaitwa Mama pretty .

Ndo sababu nmekuja kwa speed ya hypersonic

Kweli nashukuru nimekukuta ID na Avatar yako vikisadifu kauli ya wazungu isemeyo "Lady you are gorgeous " .. ( kithungu kilinipita pemben ,najuaga maneno ya mahaba tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki vita na watu wa jf🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️😂😂😂
 
Sitaki vita na watu wa jf[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ni vita wacha iwe vita, Mimi nitakua upande wako kama "Armor" Yaan Kukulinda toka ktk hatari.

Nitakua Helmet univae kichwan kama boda boda

Nitakua PPE nikulinde dhidi ya Corona

Nitakua Bulletproof vest niizuie risasi isipenye mwilin mwako.

Nitakua ballistic vest bikulinde dhidi ya milipuko ya gongo la mboto ambayo MTU alibeba mpaka badala ya mwana.

Nitakua Gas mask wako niizuie hewa chafu isiingie mwilin mwako.

Au niwe gloves ?? Nilinde viganja laini vya mikono YAKO, ili pindi unipapasapo nipate msisimko halisi wako?.

Bado tu unaogopa ?.wakati nmekulinda dhidi ya Vita na matokeo yake ?.

Basi poa, ngoja niwe Mwarubaini mchaichai, mkaratusi, Limao, tangawizi, mdalasini, na niwe shuka, UJIFUKIZE .

😂😂😂uwiii
 
Back
Top Bottom