Hodi hodi naingia...

Hodi hodi naingia...

Haswaaa hujakoseaaa.

Niliwahi ruka ukuta usiku home mida ya Saa sita miaka ileee ,kumfata demu huku kananichatisha tuu..baby njooooo njooo nitakufungulia mlango.


Mwendo wa kilometer 1 ivi alafu kwa mguu..nafika karibu nakwao Kananiambia..


Haaa baby nilikua nakutania tu Mimi nmesafiri toka Jana..


Kale kademu kaliniboa hahahahahaha., mbaya narudi home, naruka, kutua, mzeee huyu hapa ...nilichezea kichapooo.

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂
 
Hahahahahaha basi ngoja ,kuna mdau anaitwa jooohs huyu Mkuu yeye toka shule ya msingi ni harakati tu ,kupambana .


yeye na maisha maisha nayeye, sema ndo ivo mpaka Leo anatembea kwa mguu tu kama Mimi.

Ndo maana wahenga Wakasema... Mipango sio matumizi

Sent using Jamii Forums mobile app
Naonaaa umeamua uwaleteee sasaa😂😂
 
Back
Top Bottom