Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Jama
Jaman kumbe vitumbua pia nitapata!
ushindwe mwenyewe,vitumbua,chapati,visheti..nguchiro , senene.. oops!..lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jama
Jaman kumbe vitumbua pia nitapata!
Hakika sitajutia kuja Jf kumbe huku kuna raha zote?
Rebbeca!!!!!
Kuna jamaa aliangua kilio ugenini baada ya kuambiwa feel at home, baada ya uchunguzi ikagundulika kuwa alikuwa anapigwa na mkewe nyumbani kwake, hivyo feel at home akajua kipigo kinaendelea hadi kule.Tunategemea pia thread zenye tija toka kwako ndugu feel at home.
Yaaa, yani yeye ndio atakwambia mizigo yako uweke wapi, ye ndo kila kitu humu.Yy
ndye anayehusika na mapokezi?
Ulishapitwa weweAsante sana mkuu.
KaribuNashukuru Mungu leo niko live jamii forum naombeni ushirikiano mwema husasani wenye tija. Nawasilisha hoja