Hodi hodi uwanjani.

Hodi hodi uwanjani.

Tunategemea pia thread zenye tija toka kwako ndugu feel at home.
Kuna jamaa aliangua kilio ugenini baada ya kuambiwa feel at home, baada ya uchunguzi ikagundulika kuwa alikuwa anapigwa na mkewe nyumbani kwake, hivyo feel at home akajua kipigo kinaendelea hadi kule.
 
Jf bwana raaaaaha
 
Bas acha nimsubiri sijui ni ke au Me!
 
Back
Top Bottom