Hodi hodi wakuu, nimetoka ban

Hodi hodi wakuu, nimetoka ban

Kifarutz

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2012
Posts
1,736
Reaction score
360
Heshima zenu wanajamvi..!
Baada ya ban ya mwezi mzima, nimerejea tena humu ndani. Natumaini hamjambo1
 
Hatujambo ila tii masharti JF bila shuruti.
 
Karibu, umepishana na Baba V kaja huko kukupa kampani
 
Last edited by a moderator:
Mwenzetu yalikukuta yapi? Hv inakuaje mtu unapata ban,unakosea wp mana kama lugha kali za maudhi ndo zinakupa ban basi ngekuwa mod kuna jamaa anaitwa MATOLA angekuwa anapata ban kila siku, ndo mfate akupe siri ake kwanini anazingua afu hapigwi ban.anyway Karibu tena ila jitahidiufate sheria.
 
Back
Top Bottom