Mwenzetu yalikukuta yapi? Hv inakuaje mtu unapata ban,unakosea wp mana kama lugha kali za maudhi ndo zinakupa ban basi ngekuwa mod kuna jamaa anaitwa MATOLA angekuwa anapata ban kila siku, ndo mfate akupe siri ake kwanini anazingua afu hapigwi ban.anyway Karibu tena ila jitahidiufate sheria.