Hodi hodi wana J.F!

Hodi hodi wana J.F!

faithful

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2010
Posts
378
Reaction score
34
Mimi mgeni wenu ndio kwanza nimejiunga jana japo nilikuwa nafatilia topic na mijadala kwa muda mrefu sana nikanogewa na kuona utamu wa ngoma uingie ucheze!
nitafurahi kupokelewa vizuri,karibuni mtwara.
 
We mwanamke au mwanaume...?? Una watoto..??
 
Mimi mgeni wenu ndio kwanza nimejiunga jana japo nilikuwa nafatilia topic na mijadala kwa muda mrefu sana nikanogewa na kuona utamu wa ngoma uingie ucheze!
nitafurahi kupokelewa vizuri,karibuni mtwara.

Karibu sana.
 
Mimi mwanamke ngalikihinja na sina mtoto.kwa nini umeniuliza hivyo lakini?hata karibu kwanza?
 
Karibu sana,mimi niko hapa karibu na Power plant,wewe uko Mtwara ipi nikutembelee?
 
asante wacha kwa kunikaribisha vema...malila nipo masasi karibu.
 
nimeshakaribia preta,ahsante kwa mapokezi mazuri,umenifariji.
 
Mimi mwanamke ngalikihinja na sina mtoto.kwa nini umeniuliza hivyo lakini?hata karibu kwanza?
Nataka ku-test zali la mentali na wenye watoto ambao si wangu siwataki..... Humu ndani wote wana wenza wao kasoro mimi........Nieleze basi Masasi sehemu gani..........??? Uwanja wa fisi........, Mbaju........., Chanikanguo........., mkuti.........??? Unamfahamu mama AFRIKA...???
 
Back
Top Bottom