Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mwanamke au mwanaume...?? Una watoto..??Mimi mgeni wenu ndio kwanza nimejiunga jana japo nilikuwa nafatilia topic na mijadala kwa muda mrefu sana nikanogewa na kuona utamu wa ngoma uingie ucheze!
nitafurahi kupokelewa vizuri,karibuni mtwara.
Mimi mgeni wenu ndio kwanza nimejiunga jana japo nilikuwa nafatilia topic na mijadala kwa muda mrefu sana nikanogewa na kuona utamu wa ngoma uingie ucheze!
nitafurahi kupokelewa vizuri,karibuni mtwara.
Mimi mwanamke ngalikihinja na sina mtoto.kwa nini umeniuliza hivyo lakini?hata karibu kwanza?
We mwanamke au mwanaume...?? Una watoto..??
nimeshakaribia preta,ahsante kwa mapokezi mazuri,umenifariji.
Karibu sana.
Karibu sana,mimi niko hapa karibu na Power plant,wewe uko Mtwara ipi nikutembelee?
Nyie watu wawili apo juu mnaodai kuwa mtwara hamlali? LOL
Karibu faithful....karibu jamvini
masasi kumetulia tu hakuna joto wala folrni barabarani,karibu sana.
Nataka ku-test zali la mentali na wenye watoto ambao si wangu siwataki..... Humu ndani wote wana wenza wao kasoro mimi........Nieleze basi Masasi sehemu gani..........??? Uwanja wa fisi........, Mbaju........., Chanikanguo........., mkuti.........??? Unamfahamu mama AFRIKA...???Mimi mwanamke ngalikihinja na sina mtoto.kwa nini umeniuliza hivyo lakini?hata karibu kwanza?