tizo zihabandi
Member
- Oct 5, 2016
- 31
- 13
Mimi ni mwana jf mgeni humu, kwa nia ya dhati kabisa naombeni ushirikiano wenu na nina ahidi kuwa mwadirifu kwa kuzifuata sheria za jf pia kuwaheshimu wote. kwa jina naitwa TIZO ZIHABANDI ASANTENI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ni mwana jf mgeni humu, kwa nia ya dhati kabisa naombeni ushirikiano wenu na nina ahidi kuwa mwadirifu kwa kuzifuata sheria za jf pia kuwaheshimu wote. kwa jina naitwa TIZO ZIHABANDI ASANTENI
asante sana mr kwa hilo msijarikarbu sana mkuu,huu ndo mtandao wa wakubwa na faida za kutosha hope uwe nayo tutakupa ushirikiano pamoja sana
Hilo jina na mrembo au li njemba fulani iviMimi ni mwana jf mgeni humu, kwa nia ya dhati kabisa naombeni ushirikiano wenu na nina ahidi kuwa mwadirifu kwa kuzifuata sheria za jf pia kuwaheshimu wote. kwa jina naitwa TIZO ZIHABANDI ASANTENI
Karibu sana tizo vipi kwenu uganda wazima!!Mimi ni mwana jf mgeni humu, kwa nia ya dhati kabisa naombeni ushirikiano wenu na nina ahidi kuwa mwadirifu kwa kuzifuata sheria za jf pia kuwaheshimu wote. kwa jina naitwa TIZO ZIHABANDI ASANTENI
mshuwa mrHilo jina na mrembo au li njemba fulani ivi
siko ug niko wilaya moja hivi amaizing KAHAMAKaribu sana tizo vipi kwenu uganda wazima!!
Tupo sehem moja mkuu me mwenyewe nipo KAHAMAsiko ug niko wilaya moja hivi amaizing KAHAMA
basi vizuri karibu masaki kwetuTupo sehem moja mkuu me mwenyewe nipo KAHAMA