Hodi hodi

Hodi hodi

Karbu sana ila kwa niaba ya
Member wote ambatanisha
Kapicha ili member wakutambue
 
Mgeni wewe utakua mali yangu,sawa? Mabaradhuli wasikusarandie sawa?
 
Weka picha.....usipoweka wewe itakuwa sio mgeni ni mzoefu
 
Karibu mgeni. Wahenga wanasema 'Mgeni siku ya kwanza
Mpe mchele na panza
Mtilie kifuuni
Mkaribishe mgeni'.
 
We usiwe mpuuzi kihivyo, hodi usiku wote huu? Wenzio tuko kwenye kumbatio la 6 X 6, unataka tuache kupeana raha tukufungulie mlango, embu toka zako hapa.
 
Back
Top Bottom