Hodi hodi

Hodi hodi

upo jf chit chat unatisha sana ukitaka kupata likes nyingi pita pale click new posts kuupata fasta...... karibu sana
Asante mtu mzuri. Ila nna swali kwa mfano unakuta mada ina comment nyingi sana by then nikifungua kwa simu naona picha flani kwenye mada hisika ila nilitaka kuipata ile picha ni hadi nipitie comment zote na hiyo inakula tyme sana nauliza kama kuna shotcut yyte kuweza kupata picha kwa urahisi
 
Pambana na hali yako

Acha uvivu JF hakuna mvivu boss
 
Asante mtu mzuri. Ila nna swali kwa mfano unakuta mada ina comment nyingi sana by then nikifungua kwa simu naona picha flani kwenye mada hisika ila nilitaka kuipata ile picha ni hadi nipitie comment zote na hiyo inakula tyme sana nauliza kama kuna shotcut yyte kuweza kupata picha kwa urahisi
mkuu hapo labda uwe unapitia page moja moja fasta..
 
Mi kazi sana kwa ule uzi wa kupeana like una kommenti nyingi mno
wew anza kukoment tu utakuta una likes had 10 kwa post moja utapoanzia kupost ndo utaanza kulike... mkuu
 
Asante mtu mzuri. Ila nna swali kwa mfano unakuta mada ina comment nyingi sana by then nikifungua kwa simu naona picha flani kwenye mada hisika ila nilitaka kuipata ile picha ni hadi nipitie comment zote na hiyo inakula tyme sana nauliza kama kuna shotcut yyte kuweza kupata picha kwa urahisi
e2a8686df903d6e74943742d48c0f26a.jpg
 
Tumsifu Yesu kristo, asalam alyekum. Mimi ni mgeni hapa baada ya kuuliza sana hatimae nikaelekezwa kuna sehem kama hii ya kujadili mawili matatu. Minipokeeni na kunielekeza pale nnapotoka nje ya msitari. Asanteni na Mungu awabariki.
Id ya zaman imezeeka sio

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Back
Top Bottom