Mzee wa Wima
JF-Expert Member
- Mar 20, 2016
- 537
- 296
Karibu mkuu hili ni JAMVI MARIDHAWATumsifu Yesu kristo, asalam alyekum. Mimi ni mgeni hapa baada ya kuuliza sana hatimae nikaelekezwa kuna sehem kama hii ya kujadili mawili matatu. Minipokeeni na kunielekeza pale nnapotoka nje ya msitari. Asanteni na Mungu awabariki.