Hodi hodi

Hodi hodi

Tumsifu Yesu kristo, asalam alyekum. Mimi ni mgeni hapa baada ya kuuliza sana hatimae nikaelekezwa kuna sehem kama hii ya kujadili mawili matatu. Minipokeeni na kunielekeza pale nnapotoka nje ya msitari. Asanteni na Mungu awabariki.
Karibu mkuu hili ni JAMVI MARIDHAWA
 
Naomba kujua jinsi ya kufukua makaburi wanasema. Yaani kama kuna uzi wa zamani na ninataka kushare kwenye komment flani
Mkuu nenda option ya search juu kulia hapo then andika ukitakacho utakipata humu mdau..usiwe na shaka Mkuu..utaelimika vya kutosha humu jamvini.
 
Naomba kujua jinsi ya kufukua makaburi wanasema. Yaani kama kuna uzi wa zamani na ninataka kushare kwenye komment flani
kwa hay maelez inaonesh ww sio mgen

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
kwa hay maelez inaonesh ww sio mgen

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Kijana vipi? Unawashwa na nini? Mimi niwe mgeni au nisiwe wewe unakereka na nini
 
Kijana vipi? Unawashwa na nini? Mimi niwe mgeni au nisiwe wewe unakereka na nini
Pambana na hali yako naona umepanick bdala ya kuteki it ize...na tumeshakusoma tabia yako kwa ze wei unavyojib... Hii ndo Jf utakutana namengi tu

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Karibu sana

sending using jamiiforum makinikia
 
Back
Top Bottom