Hodi humu JF

jr boy

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2016
Posts
215
Reaction score
226
mimi ni kjana/young age 21 bado mwana funzi naombeni muongozo wa humu JF ili niweze kwendana na maudhui sa hh bila kuhalibu chochote kile plz naomben muongozo
 
Mosi...kwanza kila asubuhi uamkapo post hivi “Shikamooni wakubwa zangu"...kila siku i mean.
Pili...hakikisha mambo ya facbuk unayaacha kule kule na tatu jaribu kunoa lugha yako maana humu yupo mtu anaitwa FaizaFoxy atakusababishia kitu kinachoitwa BAN kutokana na maneno atakayokujibu!Dogo unakaribishwa.
 
mimi ni kjana/young age 21 bado mwana funzi naombeni muongozo wa humu JF ili niweze kwendana na maudhui sa hh bila kuhalibu chochote kile plz naomben muongozo
Huyu FaizaFoxy ni nani huyu
 
nime kuelewa mkubwa ndomana nimetaka muongozo wenu humu
 
npo chuo cha uwaziri tbr mwaka wa pili
Vizur pale tabora najua unakulaga bata pale oxygen,ukifika pale mtafuta jamaa mmoja anaitwa baraka,ndio mmiliki wa pale mwambie nimeagizwa na ndugu yako yupo dar unipe nusu kuku,halafu nenda counter mwambie Kashubara mtoto mmoja mzur mzur mweupe kama msomali akupe bia mbili ushushe kila jumamos Ila kwa bili yako... Mpka utkapotimiza miezi mitatu ya usaili huku jf
 
weka mbali na watoto mm situmii hyo kitu
 
mimi ni kjana/young age 21 bado mwana funzi naombeni muongozo wa humu JF ili niweze kwendana na maudhui sa hh bila kuhalibu chochote kile plz naomben muongozo
Mwana funzi = Mwanafunzi
Kwendana = Kuendana
Sa hh = Sahihi
Kuharibu = Kuaribu
Naomben = Naombeni
Karibu sana JF, kama sio mtu hasira utaifurahia sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…