Mwongozo ni kwamba.... Humu ndani kila mmoja ni Mkuu.Hello JamiiForums
Nimefurahi kuwa mwanafamilia hapa
Naomba kukaribishwa na kupewa mwongozo
Shukria.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwongozo ni kwamba.... Humu ndani kila mmoja ni Mkuu.
Alafu hapo kwenye avatar yako kuna maradhi ya mtima wangu..[emoji39] [emoji39] [emoji39] huo msamwanda utantoa roho...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ndio
Najua
Ni yeye,namfaham vzur san.Halaf hilo gauni huwa anapenda san kulivaahuyu kwenye picha ni wewe!!!
Mkuu, mbona unamlisha maneno binti wa watu!!!Ni yeye,namfaham vzur san.Halaf hilo gauni huwa anapenda san kulivaa