Morning Joy Motors
Member
- Jan 20, 2026
- 84
- 137
Tunawasalimu wote kwa pamoja Ndugu Wana Jf , ni matumaini yetu kwamba nyote mko salama na kwa wale ambao wapo kwenye changamoto ni maombi yetu kwa MUNGU kwamba awafanyie wepesi kabisa.
Naam mara baada ya salaam hizi naomba tujitambulishe kwenu
Kuhusu Sisi
Sisi ni Morning Joy Co., Ltd tunajihusisha na masuala yote yahusianayo na Ushauri, elimu , uagizaji na uuzaji wa magari aina zote kwa biashara ama matumizi binafsi sambamba na mitambo
KWANINI UTUCHAGUE SISI ?
1. Tunakupa wigo mpana wa kufanya machaguzi pamoja na elimu na ushauri wa gari unayotaka kuagiza
2. Tunakufikishia Gari lako ndani ya siku 45 - 50 Tu
3. Tunafanya mahesabu yote ya gari lako kwa uwazi
4. Tunakuwezesha kuagiza na kumiliki gari lako kwa malipo ya awamu zaidi ya moja.
( Maximum hata miezi 36 baada ya malipo ya awali )
5. Tunazingatia uzima na ubora wa gari utakayo agiza kwa sababu wataalamu wetu waliopo huko gari inapotokea watajiridhisha kwa kuifanyia ukaguzi wa kina kabla ya kuilipia na kupanda meri
6. Tunatoa ofa mbalimbali pamoja na zawadi
Kribu ofisini kwetu ,
tupo wazi Jumatatu hadi ijumaa - Saa 0800 hadi saa 17:00hrs
Jumamosi Saa 08:00 hadi saa 13:00hrs
Tunapatikana ground floor frame number 016 kwenye Jengo la Condo Hotel Kaloleni Arusha , mkabala na Kanisa la Shalom Church
Unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba yetu rasmi ya ofisi +255797113153 / whatsapp / simu za kawaida n.k
Aa email [email protected]
Ahsanteni sama wana Jf na tunawakaribisha nyote ofisini kwetu kwa huduma bora na za uhakika kabisa
Na ukija ofisini owetu ukisema wewe ni mwana Jf, basi utapewa punguzo maalum la wana jf
Tunaomba mtupokee sisi pamoja na huduma yetu tuweze kushirikiana kwenye kutengeneza ajira nyingi iwezekanavyo
Ahsanteni
Good Morning, the Joy has came!