Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzoefu huo, walio wengi waoga kusafiri sehemu wasizo na wenyeji au uenyeji nazo. Hiyo ni bongo tu kumvusha mtu mpaka ndio itakuwa balaa.Mi siku hizi naenda anywhere bila kuuliza
wenyeji.
Kujuamahala pa kulala na kula natumia google map.
Huduma za kijamii namtumia bodaboda.
Nipo shooters mkuu , kwakweli sijajutia ,shukran sanaKaribu mtwara
Ukifika ulizia baa moja inaitwa shutazi....hpo ndani utakula bia na watot kam wote na kuhusu lodge,ipo moja hiyo inaitwa Efl lodge.
Warning
Hakikisha unayo ela maisha ya mtwara yatakusprise.
Naomba kuwasilisha
Kuulza wenyeji muhimu mkuu ,ukijiendea unaweza ukalala guest za mashetaniutaweza kweli kumwagika NYC kibaharia wewe.....kama ntwara tu unatuuliza pa kulala, che huyu vipi ba......
Tafuta bodaboda chap, mwambie akuonyeshe lodge iliyo karibu na msikiti au kanisa....
Afadhali umeleta ushuhuda mwingine, usingetokea tungeaminishwa kuwa mambo hayo yapo mtwara tuIlinitokea kahama hyo nakumbuka niligongewa kufungua mlango nikakutana na totoz Kali Kama nne hivi
Kwa madada Mtwara ndio mwenyewe.Naingia Mtwara jioni hii kwa ziara ya kikazi siku tatu naomba kujuzwa lodge nzuri gharama isizidi 35,000 pia sehemu nzuri ya kupata bia mbili tatu ,kamziki katamu na wadada wazuri ambao sio wachoyo na hawana roho mbaya.
Hiyo ikosana Tabora.Unafanya mapenzi na binti,kumbe mchawi,ukitanaye kimwili tu,asubuhi unashangaa boss anakupigia cm,flan rudi Mara moja ofisini,kuna dharura,na nauli unatumiwa,ukirudi na ndio kazi imeishia hapo,kuwa makini mkuu,jamaa zangu wa tatu hii kitu imewatokea,wakiwa hapohapo mtwara,kwenye kazi moja hivi ya Halmashauri