Hodi Mtwara

Hodi Mtwara

Mi siku hizi naenda anywhere bila kuuliza
wenyeji.

Kujuamahala pa kulala na kula natumia google map.

Huduma za kijamii namtumia bodaboda.
 
Mi siku hizi naenda anywhere bila kuuliza
wenyeji.

Kujuamahala pa kulala na kula natumia google map.

Huduma za kijamii namtumia bodaboda.
Uzoefu huo, walio wengi waoga kusafiri sehemu wasizo na wenyeji au uenyeji nazo. Hiyo ni bongo tu kumvusha mtu mpaka ndio itakuwa balaa.
 
utaweza kweli kumwagika NYC kibaharia wewe.....kama ntwara tu unatuuliza pa kulala, che huyu vipi ba......

Tafuta bodaboda chap, mwambie akuonyeshe lodge iliyo karibu na msikiti au kanisa....
 
Sikuizi ukienda lodge mwenyewe tena usiku utaulizwa kama unataka compan wanakuletea totoz unajilia tu bila wasi ila condom na mafuta ya nazi ni muhimu
 
Karibu mtwara

Ukifika ulizia baa moja inaitwa shutazi....hpo ndani utakula bia na watot kam wote na kuhusu lodge,ipo moja hiyo inaitwa Efl lodge.

Warning
Hakikisha unayo ela maisha ya mtwara yatakusprise.

Naomba kuwasilisha
Nipo shooters mkuu , kwakweli sijajutia ,shukran sana
 
utaweza kweli kumwagika NYC kibaharia wewe.....kama ntwara tu unatuuliza pa kulala, che huyu vipi ba......

Tafuta bodaboda chap, mwambie akuonyeshe lodge iliyo karibu na msikiti au kanisa....
Kuulza wenyeji muhimu mkuu ,ukijiendea unaweza ukalala guest za mashetani
 
Ilinitokea kahama hyo nakumbuka niligongewa kufungua mlango nikakutana na totoz Kali Kama nne hivi
Afadhali umeleta ushuhuda mwingine, usingetokea tungeaminishwa kuwa mambo hayo yapo mtwara tu
 
Naingia Mtwara jioni hii kwa ziara ya kikazi siku tatu naomba kujuzwa lodge nzuri gharama isizidi 35,000 pia sehemu nzuri ya kupata bia mbili tatu ,kamziki katamu na wadada wazuri ambao sio wachoyo na hawana roho mbaya.
Kwa madada Mtwara ndio mwenyewe.
Ukimpa elfu kumi ya vocha anajua au Ni kifungua uchumba au wewe Ni mhuni wa buza.
Wenyewe wamezoea sana sana buku mbili.
Ila chunga sana. Ukimzoea mmakonde utavunja ndoa yako. Kwanza kwa style zao Kama ile ya kukuambia uteme mate nje kupitia dirishani au ndumba zao.
 
Unafanya mapenzi na binti,kumbe mchawi,ukitanaye kimwili tu,asubuhi unashangaa boss anakupigia cm,flan rudi Mara moja ofisini,kuna dharura,na nauli unatumiwa,ukirudi na ndio kazi imeishia hapo,kuwa makini mkuu,jamaa zangu wa tatu hii kitu imewatokea,wakiwa hapohapo mtwara,kwenye kazi moja hivi ya Halmashauri
Hiyo ikosana Tabora.
 
Back
Top Bottom