Hodi Mwanza

Usiache kuusindikiza uzi kwa picha..hasa ukifika stendi kuu ya Jobu Ndugai..mlima sekenke najua mtafika jioni napo usisahau kupiga picha wale nyani wanaosimama barabarani.

#MaendeleoHayanaChama
 
Ila hizi gari za mwanza zinakimbizwaa dahh kwa sisi tuliozoea magari ya arusha na moshi haya ni maajabu. Yani wanaovertake tu hata pasipofaa kuovertake...
Sijui wao hawana tochi kwenye barabara zao
 
Usiache kuusindikiza uzi kwa picha..hasa ukifika stendi kuu ya Jobu Ndugai..mlima sekenke najua mtafika jioni napo usisahau kupiga picha wale nyani wanaosimama barabarani.

#MaendeleoHayanaChama
Stend ya job ni ipi mkuu??
Ni ya dom au?
 
Ila hizi gari za mwanza zinakimbizwaa dahh kwa sisi tuliozoea magari ya arusha na moshi haya ni maajabu. Yani wanaovertake tu hata pasipofaa kuovertake...
Sijui wao hawana tochi kwenye barabara zao
Mwanza mbali wasipo kimbia mtafika sa8 za usiku..hapo angalau mfike sa5 au sa6.

Daah nimepamisa sana mwanza.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mwanza mbali wasipo kimbia mtafika sa8 za usiku..hapo angalau mfike sa5 au sa6.

Daah nimepamisa sana mwanza.

#MaendeleoHayanaChama
Imagine kutoka mbezi stend hadi maili moja wametumia dakika 12 tu..
Yani kama mvivu kuamka unaachwa..
Uende ukawasalimie wasukuma bwana
 
Alishidwa mtiwa mafuta daudi aliye chaguliwa na mungu sembese wanaume wa sasa ambao kile leo barabarani unakutana na warembo wapo nusu uchi
Haya wewe zuendekeze tuu utakuja kusimulia
 
Vyovyote vile kimasihara za huko achana nazo, risasi saba kwenye ubongo mmoja tutashindwa hata kukutambua mdogo wetu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wanatishia amani hawa matajiri wa sato na sangara...
Inabidi kimasihara iendane na bulletproof
 
Tunashukuru kwa taarifa...wala samaki tuu huko au sio? Vipi wana jf wamekupokea
Nimepokelewa na kujaliwa kwa yote
Sijatindikiwa kitu hapa nilipo
Huwezi amini nimepewa 5* treatment
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]

Nime update uzi kasome uone kule juu
 
Aise safi sana natumai mwana jf atabarikiwa na utamu 🤣🤣🤣🤣

On a serious note...fursa gani hizo zipo na sie tuzichangamkie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…