Hodi! Naombeni mbinu ya kujizuia kumwaga mshindo!

Nifanyeje niweze kujikontrol na kumalizia kwa dakika ninazotaka Mimi?!!! Msaada tafadhali🙏🙏
Acha stress .
LAla sana
Fanya mazoezi
Kula chakula ushibe .
Vuta bangi au kunywa konyagi utasex bao moja hadi kesho yake watu wanaushaidi .
Hata wine red inaleta hisia .
Fanya mapenzi na mtu ambaye unahisia naye naye anahisia nawe .
Sina jingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…