Hodi wakuu

Ronin

Senior Member
Joined
Apr 10, 2023
Posts
144
Reaction score
610
Kaka na dada zangu,
Baba na mama zangu,
Bibi na babu zangu,
Wajomba na Mashangazi zangu,
Wadogo zangu wote. Heshima kwenu.

Mimi nimejiunga hapa jf baada ya kusoma kama mgeni kwa muda kidogo, mpaka sasa nina mwezi mmoja kama mwana chama. Naomba ushirikiano wenu, mnionyeshe mitaa na chochoro za hapa jf.

Napenda sana story, naomba mniongoze kwenye story nzuri, pia ni mwanamichezo naomba mnipokee wanamichezo wenzangu.

Pia naomba mwongozo wa nyuzi zenye kujenga.

Asante sana wana jamii forum.
 
Kumbe ni punyeto?


 
Mimi naomba nijiunge na kubali ndoa


Sasa nenda kwenye jukwaa la la habari mchanganyiko na andika mada ya umuhimu wa ndoa ili "wale kataa ndoa" wajue umuhimu wa ndoa huku ukitoa sababu zenye mashiko.
 
Sasa nenda kwenye jukwaa la la habari mchanganyiko na andika mada ya umuhimu wa ndoa ili "wale kataa ndoa" wajue umuhimu wa ndoa huku ukitoa sababu zenye mashiko.
Asante sana mkuu, nitafanya kazi ushauri wako, barikiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…