Hodi wakuu

Hodi wakuu

Nashukuru sana mkuu
Hawa wakuu wanahusika na nini?
Mambo kadhaa wa kadhaa. Mimi ni mtalaamu majukwaa kadhaa. Kama Mahusiano, Siasa, Burudani, Siasa n.k ndiye nliyekuwa na Max wakati anaanzisha Jambo Forum ndo nikamshauri aite Jamiiforums. Nafahamika sana pia kwa kuwasaidia watu wenye shida mbalimbali ndo maana umeona nimetambulishwa hapo. Pia ni msimamizi mkuu wa JF. Nikisema utolewe ni sekunde tu.
 
Nashukuru sana mkuu, kumbe ni mtu mkubwa hivyo?. Asante sana kwa kunipa hii heshima ya kunijibu.
 
Kaka na dada zangu,
Baba na mama zangu,
Bibi na babu zangu,
Wajomba na Mashangazi zangu,
Wadogo zangu wote. Heshima kwenu.

Mimi nimejiunga hapa jf baada ya kusoma kama mgeni kwa muda kidogo, mpaka sasa nina mwezi mmoja kama mwana chama. Naomba ushirikiano wenu, mnionyeshe mitaa na chochoro za hapa jf.

Napenda sana story, naomba mniongoze kwenye story nzuri, pia ni mwanamichezo naomba mnipokee wanamichezo wenzangu.

Pia naomba mwongozo wa nyuzi zenye kujenga.

Asante sana wana jamii forum.
Sawa kijana.
 
𝐊𝐚𝐫𝐢𝐛𝐮
 
Back
Top Bottom