Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nitamfundisha mengi sana. Akaribie tu. Amejitambulisha jinsia yake?
Mambo kadhaa wa kadhaa. Mimi ni mtalaamu majukwaa kadhaa. Kama Mahusiano, Siasa, Burudani, Siasa n.k ndiye nliyekuwa na Max wakati anaanzisha Jambo Forum ndo nikamshauri aite Jamiiforums. Nafahamika sana pia kwa kuwasaidia watu wenye shida mbalimbali ndo maana umeona nimetambulishwa hapo. Pia ni msimamizi mkuu wa JF. Nikisema utolewe ni sekunde tu.Nashukuru sana mkuu
Hawa wakuu wanahusika na nini?
Mimi ndo WAKUU mwenyewe sasa. Wengine huniita MKUUAsante sana mkuu, nimeambiwa utanifundisha mengi. Nakusikiliza mwongozo wako mkuu.
Nashukuru sana mkuu, kumbe ni mtu mkubwa hivyo?. Asante sana kwa kunipa hii heshima ya kunijibu.Mambo kadhaa wa kadhaa. Mimi ni mtalaamu majukwaa kadhaa. Kama Mahusiano, Siasa, Burudani, Siasa n.k ndiye nliyekuwa na Max wakati anaanzisha Jambo Forum ndo nikamshauri aite Jamiiforums. Nafahamika sana pia kwa kuwasaidia watu wenye shida mbalimbali ndo maana umeona nimetambulishwa hapo. Pia ni msimamizi mkuu wa JF. Nikisema utolewe ni sekunde tu.
ndoa ni msongamanoMimi naomba nijiunge na kubali ndoa
Huyu ana kitengo maalum cha kugawa maua humu. Atazipendezesha post zakoAsante mkuu,
Huyu mkuu anahusika na nini naomba kufahamu.
KaribuSawa mkuu, Nashukuru kwa kunifahamisha hili
Karibu. Yeaah huwa napenda kujichanganya kidogo na watu wa chini sina majivuno wala dharau. Labda mtu aniudhi tu.Nashukuru sana mkuu, kumbe ni mtu mkubwa hivyo?. Asante sana kwa kunipa hii heshima ya kunijibu.
Sawa kijana.Kaka na dada zangu,
Baba na mama zangu,
Bibi na babu zangu,
Wajomba na Mashangazi zangu,
Wadogo zangu wote. Heshima kwenu.
Mimi nimejiunga hapa jf baada ya kusoma kama mgeni kwa muda kidogo, mpaka sasa nina mwezi mmoja kama mwana chama. Naomba ushirikiano wenu, mnionyeshe mitaa na chochoro za hapa jf.
Napenda sana story, naomba mniongoze kwenye story nzuri, pia ni mwanamichezo naomba mnipokee wanamichezo wenzangu.
Pia naomba mwongozo wa nyuzi zenye kujenga.
Asante sana wana jamii forum.
๐๐๐ซ๐ข๐๐ฎKaka na dada zangu,
Baba na mama zangu,
Bibi na babu zangu,
Wajomba na Mashangazi zangu,
Wadogo zangu wote. Heshima kwenu.
Mimi nimejiunga hapa jf baada ya kusoma kama mgeni kwa muda kidogo, mpaka sasa nina mwezi mmoja kama mwana chama. Naomba ushirikiano wenu, mnionyeshe mitaa na chochoro za hapa jf.
Napenda sana story, naomba mniongoze kwenye story nzuri, pia ni mwanamichezo naomba mnipokee wanamichezo wenzangu.
Pia naomba mwongozo wa nyuzi zenye kujenga.
Asante sana wana jamii forum.