Gonzaga Ngonyani
Senior Member
- Jan 22, 2013
- 157
- 92
Karibu sana mgeni. Introduction inahusika
ID yako ya zamani inaitwaje?
Ipi hiyo mkuu?
Jinsia ni ME,
MS: SINGLE
Ile ulyokuwa unaitumia kabla hujacreate hii
Karibu sana Gonzaga Ngonyani
Oraitoooo! Karibu mkuu. Vipi sasa inakuwaje kuhusu ID ya zamani, ni ipe tena??
Hello wana Chit Chat!
Nimevutiwa na jukwaa hili na natamani sana kulijua vilivyo jukwaa hili.
Naomba ukaribisho,utambulisho na maelekezo.
Hello wana Chit Chat!
Nimevutiwa na jukwaa hili na natamani sana kulijua vilivyo jukwaa hili.
Naomba ukaribisho,utambulisho na maelekezo.
Haipo mkuu chilli.
ID yako ya zamani inaitwaje?