Hodi Wana Chit Chat! Natamani kuwa mmoja wenu.

Hodi Wana Chit Chat! Natamani kuwa mmoja wenu.

Hello wana Chit Chat!
Nimevutiwa na jukwaa hili na natamani sana kulijua vilivyo jukwaa hili.
Naomba ukaribisho,utambulisho na maelekezo.

Karibu sana, uhegelelayi pa 'Kihungu' ngati uyingi apa yiwalila kukiliwuka kunyumba, tivi tavalongo tamahele. Ndugu original ni hawa @F.P, snowhite, Kipipi, Ngalikihinja, Mjomba Dark City. Mngoni wa kusilimishwa Preta. Wapo wangoni wa UPAKO ambao ni Erickb52, Arushaone, Boflo. Wanaovutiwa ni watu8, platozoom, Madame B. Wangoni watarajiwa Wiyelele, The Boss, AshaDii, King'asti,

Wengine watajiorodhesha kwa kuzingatia itifaki

Ndugu karibu sana Chit Chat, kamwe hutabaki mpweke na wala hutajuta, unakijua kihungu kwa kule kwetu-(sehemu ambayo ina kichuguu/udongo wa chumvi chumvi ambapo wanyama/ndege wa kila aina hukusanyika na kulamba chumvi bila kujali tofauti zao)!
 
Karibu sana, uhegelelayi pa 'Kihungu' ngati uyingi apa yiwalila kukiliwuka kunyumba, tivi tavalongo tamahele. Ndugu original ni hawa @F.P, snowhite, Kipipi, Ngalikihinja, Mjomba Dark City. Mngoni wa kusilimishwa Preta.
Wapo wangoni wa UPAKO ambao ni Erickb52, Arushaone, Boflo. Wanaovutiwa ni watu8, platozoom, Madame B. Wangoni watarajiwa Wiyelele, The Boss, AshaDii, King'asti,

Wengine watajiorodhesha kwa kuzingatia itifaki

Ndugu karibu sana Chit Chat, kamwe hutabaki mpweke na wala hutajuta, unakijua kihungu kwa kule kwetu-(sehemu ambayo ina kichuguu/udongo wa chumvi chumvi ambapo wanyama/ndege wa kila aina hukusanyika na kulamba chumvi bila kujali tofauti zao)!
hapo pa wangoni waatarajiwa na wangoni wa upako ndo uliponiacha hoi kakangu!ahahahhahahahhahahhahah chezeya totoz na vijana wa kingoni lazima tuwafanyie assimilatio
cc The Boss, AshaDii Wiyelele na King'asti
 
Last edited by a moderator:

hapo pa wangoni waatarajiwa na wangoni wa upako ndo uliponiacha hoi kakangu!ahahahhahahahhahahhahah chezeya totoz na vijana wa kingoni lazima tuwafanyie assimilatio
cc The Boss, AshaDii Wiyelele na King'asti

Dada, our ancestors were Kings, our fathers and mothers were Kings and Queens too, why shouldn't we rule Chit chat? Hapana dada sisi ni wafalme na ma-malkia, wacha tujimwage!!
 
Back
Top Bottom