Unapenda kula bata........?
have mercy wengine wageni kiukweli hadi utawatisha japo wapo wajuao kupretend kwamba ni wageni
Hello wana Chit Chat!
Nimevutiwa na jukwaa hili na natamani sana kulijua vilivyo jukwaa hili.
Naomba ukaribisho,utambulisho na maelekezo.
Unalisha watu bata siku hizi...au ndio wanapatikana kwenye ule mgahawa wako??
Mda ndo unazd kuyoyoma. Maandalzi yakoje? Nataman niende aiport nkuje Dar.
Hello wana Chit Chat!
Nimevutiwa na jukwaa hili na natamani sana kulijua vilivyo jukwaa hili.
Naomba ukaribisho,utambulisho na maelekezo.
Unapenda kula bata........?
Hapo siongezi neno...maana maisha mafupi.
Mpwa muda bado unaruhusu mbona...fanya mpango wa flight banaaa!!
Maandalizi yako poa sana!!!
Karibu sana, uhegelelayi pa 'Kihungu' ngati uyingi apa yiwalila kukiliwuka kunyumba, tivi tavalongo tamahele. Ndugu original ni hawa @F.P, snowhite, Kipipi, Ngalikihinja, Mjomba Dark City. Mngoni wa kusilimishwa Preta.
hapo pa wangoni waatarajiwa na wangoni wa upako ndo uliponiacha hoi kakangu!ahahahhahahahhahahhahah chezeya totoz na vijana wa kingoni lazima tuwafanyie assimilatioWapo wangoni wa UPAKO ambao ni Erickb52, Arushaone, Boflo. Wanaovutiwa ni watu8, platozoom, Madame B. Wangoni watarajiwa Wiyelele, The Boss, AshaDii, King'asti,
Wengine watajiorodhesha kwa kuzingatia itifaki
Ndugu karibu sana Chit Chat, kamwe hutabaki mpweke na wala hutajuta, unakijua kihungu kwa kule kwetu-(sehemu ambayo ina kichuguu/udongo wa chumvi chumvi ambapo wanyama/ndege wa kila aina hukusanyika na kulamba chumvi bila kujali tofauti zao)!
Umeona eeeeh......Leo tunakamulia wapi sasa........?
Dada, our ancestors were Kings, our fathers and mothers were Kings and Queens too, why shouldn't we rule Chit chat? Hapana dada sisi ni wafalme na ma-malkia, wacha tujimwage!!