Hodi Wana Chit Chat! Natamani kuwa mmoja wenu.

Mkuu Ngonyani karibu sana CC...ngoja nikuitie dada na kaka zako wa Nyumbi hii Bombi hii wakukaribishe...
wapi snowhite, moto2012
Mbona umenisahau?? Mi natokea ukoo wa Komba, ndugu zake na Katembo, Matembo, Mapunda n.k
 
Last edited by a moderator:
Mbona umenisahau?? Mi natokea ukoo wa Komba, ndugu zake na Katembo, Matembo, Mapunda n.k

Ooh! kumbe nawe ni wa kule kule eenh haya mkaribishe rafiki huyu kwa Kingoni...
 
Karibu,vigezo na masharti kuzingatiwa,ole wako umtongoze The secretary,nitakunyoa bila maji.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…