Hodi Wana JF, Popobawa Nimefika na naomba mnipokee

Hodi Wana JF, Popobawa Nimefika na naomba mnipokee

Hivi huyo popobawa daresalaam alikuwa ni mmoja tu au walikuwa wengi 😂
 
Haki nimecheka kwa sauti na nipi kazini daah.......hivi zile stori ni kweli mkuu???🤣🤣😂😂
Sijawahi kuamini mie.
Nilikuwa kila siku lazima nisome gazeti yale ya Shigongo nipate kujua popobawa jana usiku alionekana wapi.
Tulikuwa tunakula sana kitimoto ili upate mfupa uweke mlangoni/ dirishani
Hakii wallah tulisumbuka
 
Back
Top Bottom