Ilikuwa ni noma sana, popobawa alinilaza chali na jeans tatu plus kamba ya mkonge mkononi ety ukivaa hiyo kamba akutembelei πππNikikumbuka zile nyakati za popobawaβ¦ ila Dar imeshapitia mengi khaaaa.
Yan popobawa akushindue afu utangazie watu!! Usipotangaza anarudi tena π€£ π€£
Ombi lako linafanyiwa kazi πSamia naye mfate
I'll be there once againKaribu PEMBA Yakheeeeee...........
HahaKwa nini usimfate mwiguru nchemba
Sijawahi kuamini mie.Haki nimecheka kwa sauti na nipi kazini daah.......hivi zile stori ni kweli mkuu???π€£π€£ππ
Hivi ilikuwaga ni kweli au wana walikuwa wanaota ndoto nyevu tu πππ
ππππππWewe, ndoto gani nyevu zinazolowesha uwemba?