Hodi wana JF

Hodi wana JF

Pole sana. Endelea kujaribu zitafunguka.
Yeah! Ngoja niendelee kujaribu maana kuna ninazofanikiwa kufangua na kujibu ila zingine zinashindikana. Sasa sijui ni huu ushambenga wangu wa jf au ni haka ka mchina kangu au ni network.

Hope mambo yatakaa sawa tu
 
Hahahaaa "eti ushambenga" sio banaaa. Itakuwa hicho kimchina chako. [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Usijali mimi nina imani pia yatakaa sawa.
 
"Ushambenga" ni mzigo mwingine ujue [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ngoja niendelee kufanya mazoezi mpaka niweze
 
Back
Top Bottom