Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,097
- 17,929
Aya bhanaPm yangu haifunguki,hivyo sizioni ndo maana sikujibu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aya bhanaPm yangu haifunguki,hivyo sizioni ndo maana sikujibu.
Nimemtamani lkn in love zaidi na hii nameHahahah thimjui [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Pole sana. Endelea kujaribu zitafunguka.Mamy,napata notification za PM ila zinagoma kufunguka,hivyo nashindwa kuzisoma na kuzijibu [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Yeah! Ngoja niendelee kujaribu maana kuna ninazofanikiwa kufangua na kujibu ila zingine zinashindikana. Sasa sijui ni huu ushambenga wangu wa jf au ni haka ka mchina kangu au ni network.Pole sana. Endelea kujaribu zitafunguka.
Yeah! Ngoja niendelee kujaribu maana kuna ninazofanikiwa kufangua na kujibu ila zingine zinashindikana. Sasa sijui ni huu ushambenga wangu wa jf au ni haka ka mchina kangu au ni network.
Hope mambo yatakaa sawa tu
"Ushambenga" ni mzigo mwingine ujue [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaa "eti ushambenga" sio banaaa. Itakuwa hicho kimchina chako. [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Usijali mimi nina imani pia yatakaa sawa.
Hahahaaa. Sitaki mieee."Ushambenga" ni mzigo mwingine ujue [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja niendelee kufanya mazoezi mpaka niweze
Ooh! Tamaa sio nzuri ujue...
ila sasa hivi umejua jinsi ya KU-PM?Ndio walitaka eti niwa pm wakati nilikuwa hata sijui kupm
nipo mkuu aiseeMod upo?!umepotea kiongozi
Acha u ...... Ntakutusi aiseeBado ninachangamoto. Sijui wapi nakosea