Fred Mushi
Member
- May 4, 2013
- 49
- 9
- Thread starter
-
- #41
Mpaka afanye mchakato wa kuwaweka kwenye payroll. Halafu Mulemwa na Nyagonde ni anti Mamvi. Hawawezi kukubali kushikiwa akili kama ambavyo Mushi ameshikiwa na Shigela
Mpaka afanye mchakato wa kuwaweka kwenye payroll. Halafu Mulemwa na Nyagonde ni anti Mamvi. Hawawezi kukubali kushikiwa akili kama ambavyo Mushi ameshikiwa na Shigela
Unajidharaulisha, kuna uhusiano gani wa mie kujiunga hapa na masuala ya Shigela?
Tumia akili kidogo basi...
basi amelete mzee wa nyama choma bruno kimario
We unadhani ataandika nini humu? Mle kundini mwao wanalindana ndo maana wanaandika uharo wanavyotaka
Huyu tuko naye kitambo sana,mbona mnamuandama sana......mwacheni ajipange bado mgeni
Huyu tuko naye kitambo sana,
leo kaja tu kivingine