Fred Mushi
Member
- May 4, 2013
- 49
- 9
- Thread starter
- #41
Mpaka afanye mchakato wa kuwaweka kwenye payroll. Halafu Mulemwa na Nyagonde ni anti Mamvi. Hawawezi kukubali kushikiwa akili kama ambavyo Mushi ameshikiwa na Shigela
Unajidharaulisha, kuna uhusiano gani wa mie kujiunga hapa na masuala ya Shigela?
Tumia akili kidogo basi...