Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Daah mkuu najiona si mjuzi wa vitu hivyo labda tuwaulize wadau wanaweza kukupa msaada huo.Nataka unifundishe jinsi ya kuandika status na kuchange jina...coz naona umu mamluki wengi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah mkuu najiona si mjuzi wa vitu hivyo labda tuwaulize wadau wanaweza kukupa msaada huo.Nataka unifundishe jinsi ya kuandika status na kuchange jina...coz naona umu mamluki wengi.
[emoji3][emoji3]pambana mwenzio anataka ajue kuweka status[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Aiseeh yaan kajua kunikomesha [emoji26]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji3][emoji3]pambana mwenzio anataka ajue kuweka status
[emoji3][emoji3][emoji3]hata me naona, ila ivi ndo inavotakiwa kuwa wakarimu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Ukarimu wangu umeniponza
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hata me naona, ila ivi ndo inavotakiwa kuwa wakarimu
Wakuu ninaomba muongozo wenu
ID mpya ni Idea?? Mbona sikusomiNdo umefika Leo, tayari ushawaza kuchange jina?
Hongera kwa kuja na ID mpya!
Karibu
Labda inaweza ikawa hakunaDaah mkuu najiona si mjuzi wa vitu hivyo labda tuwaulize wadau wanaweza kukupa msaada huo.
Karibu sana. ID ni salamu ya asubuhi kwa wana forum wenzakoID ndo kitu gani?
Obheja sana..Naiandikia wapi sasa?Karibu sana. ID ni salamu ya asubuhi kwa wana forum wenzako
Hapa kama ulivoandika haya manenoObheja sana..Naiandikia wapi sasa?
Nyanebhe gashi uli yashika chene hangi [emoji1]Obheja kulumba Ngwanike wane[emoji173]
Unaiandikia hapa hapa ..Obheja sana..Naiandikia wapi sasa?
Wakondya wasu... Uko poa mremboKaribu sana
Ukhuty namimi nitafsilie basi[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wabeija sanaNataka unifundishe jinsi ya kuandika status na kuchange jina...coz naona umu mamluki wengi.